Utoro chanzo cha ufaulu mdogo Geita

Geita. Wakati kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi wa shule za sekondari mkoani Geita kikiwa chini ya asilimia 40, utoro wa wanafunzi, umetajwa kuwa sababu kubwa inayochangia mkoa huo kuwa chini kitaaluma kukiwa na kundi kubwa la watoto wanaojihusisha na shughuli za uzalishaji mali na kuacha kuhudhuria masomo. Taarifa ya elimu ya mkoa huo imeweka wazi…

Read More

BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR WAFANYA ZIARA EWURA

    Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati Zanzibar, imefanya ziara kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ili kupata uzoefu wa shughuli za udhibiti leo tar. 6 Mei 2024. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Yahaya Rashid Abdala, ameishukuru EWURA kwa kuwakaribisha vizuri na kueleza imani yake…

Read More

Wauguzi Dar wataka siku zaidi za mapumziko

Dar es Salaam. Wauguzi na wakunga wa mkoa wa Dar es Salaam, wamelalamikia kufanya kazi zaidi ya saa nane kwa siku, pamoja na kutumia siku 28 mpaka 30 wakiwa kazini bila mapumziko. Wauguzi hao wamesema licha ya kupata mapumziko ya likizo ya siku 28 kwa mwaka, bado wameendelea kufanya kazi kwa saa 12 kila siku….

Read More

Simba yatua kwa kina Pacome, Yanga ni anga kwa anga

Kama ulishtuka kusikia bosi wa Yanga,Hersi Said yupo jijini Lubumbashi nchini DR Congo akifuata mashine mpya, basi sikia na hii namna ambavyo vigogo wa klabu hiyo walivyogawana anga wakishambulia ndani na nje ya nchi kusaka mashine mpya. Matamanio yaliyopo nyuma ya vigogo hao ni kuhakikisha Yanga inacheza fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao…

Read More

Simba wala ng’ombe 70 Simanjiro

Simanjiro. Ng’ombe 70 za wafugaji wa kata ya Ruvu Remit iliyopo Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, wameliwa na simba ndani ya wiki moja, hivyo wameiomba Serikali kuingilia kati kwa kuwaua simba hao ili kuokoa mifugo yao. Akizungumza kwenye kikao cha Baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, leo Jumatatu Mei 6, 2024, diwani…

Read More

Inonga ageuka kocha Simba, ikivuna pointi tatu

LICHA ya uwepo wa kocha Juma Mgunda na msaidizi wake Seleman Matola, beki Mkongomani wa Simba, Henock Inonga ambaye alikuwa kati ya wachezaji wa akiba amegeuka kocha katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao timu hiyo imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tabora United. Bao la Sadio Kanoute katika dakika ya 19 likiwa…

Read More

WATAALAMU WA VINASABA TUMIENI TEKNOLOJIA,WELEDI UWE KIPAUMBELE KWENYE MAJUKUMU YENU: DKT. JINGU

Na.mwandishi wetu_Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu, ametoa rai kwa kamati ya kitaalamu wanaofanya uchunguzi wa Vinasaba vya Binadamu kuzingatia matumizi ya teknolojia huku wakizingatia weledi na kufuata maadili ya kazi ili kuepuka madhara au migogoro inayoweza kujitokeza. Dkt. Jingu amesema hayo leo 6 Mei, 2024 jijini Dodoma wakati akizindua Kamati…

Read More