Matibabu ya kibingwa na bobezi kupatikana ngazi za msingi
Iringa. Huduma za afya za kibingwa na ubingwa bobezi sasa zimeanza kupatikana katika afya ya msingi, baada ya kuzinduliwa rasmi kwa mpango wa kambi za madaktari bingwa waliosambaa nchi nzima, kutoa matibabu kwenye hospitali zote 184 za halmashauri. Kwa kawaida, kambi za huduma za madaktari bingwa, zimekuwa zikifanyika katika hospitali za rufaa za kanda au…