Washiriki 1200 watarajiwa kushiriki mbio za barabarani
WASHIRIKI wasiopungua 1200 wanatarajiwa kushiriki mbio za barabarani zitakazofanyika Agosti 31 mwaka huu zitakazoanza kutimua vumbi Police Office Mess Masaki. Akizungumza na waandishi wa habari, Msemaji wa The Runners Club, Godfery Mwangungulu ambao ndio waandaaji wa mbio hizo Alisema ni msimu wa saba sasa wa mbio hizo lakini kwa msimu huu zimekuwa na utofauti. Mwangungulu…