BENKI YA STANBIC YAZINDUA MABORESHO YA HUDUMA YA PRIVATE BANKING JIJINI MWANZA, KULETA SULUHISHO MAALUMU LA USIMAMIZI WA MALI NA FEDHA
Na mwandishi wetu Mwanza. Benki ya Stanbic imezindua rasmi maboresho ya huduma zake za Private Banking jijini Mwanza, ikiwa ni sehemu ya dhamira yake ya kuendelea kutoa suluhisho maalum za kifedha kwa wateja wake wenye uhitaji mkubwa, wamiliki wa biashara, na wawekezaji mbali mbali. Uzinduzi huu ni hatua muhimu ya kimkakati wa upanuzi wa…