SERIKALI YALETA NEEMA KWA WAKULIMA WA KOROSHO

Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb) amefanya ziara ya kikazi mkoani Mtwara tarehe 11 Desemba 2025 na kutoa salamu za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa “Serikali itaendelea kuwapunguzia mzigo wakulima wa Korosho kwa kuwa na uhakika wa pembejeo za kilimo.” Waziri Chongolo ameongeza kuwa Serikali itahakikisha Korosho zote ghafi zinazosafirishwa zitumie Bandari…

Read More

Wanahabari wamkalia kooni mtoto wa Mbowe

Dar es Salaam. Wanahabari 10 waliokuwa wakifanya kazi katika Gazeti la Tanzania Daima lililokuwa linamilikiwa na Kampuni ya Fee Media Ltd, wameanza mchakato wa kumfunga gerezani mkurugenzi wa gazeti hilo, Dudley Mbowe kwa kukiuka makubaliano ya malipo ya madai ya stahiki zao. Wanahabari hao, Maregesi Paul na wenzake tisa ambao walikuwa waandishi wa habari na…

Read More

Bado Watatu – 34 | Mwanaspoti

BABA akasema: “Wewe ukisema unamtuhumu mke wako, sisi tutatoa sababu za kukutuhumu wewe. Sasa ukweli wataujua polisi. Nyote mtapata shida, kwa sababu kama ni kesi itawahusu nyote — hasa wewe, Sufiani!”Sufiani akanyamza kimya.Hapo simu yangu ikaita. Nilipotazama skrini ya simu, nikaona jina la Raisa. Nikajisogeza pembeni kidogo kisha nikaipokea.“Hello… Raisa, vipi?”“Nimepata taarifa ya kunishitua, shoga…”…

Read More

Kilio chasikika, tathmini mpya kufanyika daraja la juu Amani

Unguja. Baada ya kutoa malalamiko kuhusu fidia ndogo, wananchi wanaotakiwa kupisha mradi wa ujenzi wa barabara za mjini, likiwamo daraja la juu la Amani, Serikali imeagiza kufanyika mapitio ya tathmini iliyofanywa, ili kubaini uhalisia na kila mtu apate haki anayostahili. Hatua hiyo imefikiwa leo Agosti 9, 2025 baada ya mawaziri watatu wanaohusika katika mchakato huo…

Read More

DKT. SAMIA AFUNGUA KIWANDA MEATU

::::::: MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Kiwanda cha Kuchakata Pamba cha Biosustain Tanzania Limited, kilichoko Kata ya Mwamishali, Wilaya ya Meatu, leo Jumanne tarehe 17 Juni 2025, akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi mkoani Simiyu. 

Read More