ETDCO YAONYESHA UTEKELEZAJI WA MRADI YA UMEME SABASABA

Mhandisi Mkuu wa Kampuni ya Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO) Mustapha Himba (kulia) akitoa ufafanuzi wa utekelezaji wa miradi ya umeme kwa wananachi waliotembelea leo julai 2, 2025 katika banda la Kampuni hiyo katika  Maonesho  ya 49 ya Kimataifa ya Biashara sabasaba  katika Viwanja vya  Julius…

Read More

OUT YAADHIMISHA MIAKA 30 TANGU KUANZISHWA KWAKE

Na Mwandishi Wetu CHUO Kikuu Huria (OUT), kinaadhimisha miaka 30 tangu kuanzishwa kwake mwaka huu ambapo maadhimisho hayo kilele chake kitafanyika kwenye Mahafali ya 43 ya Chuo Novemba mwaka huu, Mkoani Kigoma. Maadhimisho hayo yamekwenda na kauli mbiu isemayo, ‘Miaka 30 ya kufungua fursa endelevu za elimu kwa njia ya masafa huria,’. Akizungumza wakati wa…

Read More

Mikataba 17 ya ujenzi wa barabara yasainiwa Manyara

Babati. Mikataba 17 ya ujenzi wa barabara zinazosimamiwa na Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (Tarura) mkoani Manyara, imetiwa saini tayari kwa kuanza ujenzi wake. Hafla ya utiaji saini wa mikataba hiyo imefanyika leo Jumatano Agosti 7, 2024, mjini Babati, ikishuhudiwa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga. Mikataba hiyo, yenye thamani ya…

Read More

Dk Tulia: Dk Ndugulile ametuachia simanzi kubwa

Dar es Salaam. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, amesema kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile, kimeacha simanzi kubwa kwa Bunge na Watanzania kwa ujumla, kutokana na mchango wake mkubwa katika maendeleo ya Taifa….

Read More

Beki Mrundi amalizana na Namungo

BEKI wa zamani wa Namungo FC, Derick Mukombozi, raia wa Burundi amemalizana na waajiri wake hao wa zamani kwa ajili ya kuitumikia msimu huu. Akizungumza na Mwanaspoti, Mukombozi amesema amemalizana na Namungo, lakini kuhusu muda uongozi utatangaza amesaini mkataba wa muda gani. “Nimeitumikia (Namungo) kwa misimu mmoja naifahamu vizuri simuhofii mtu naamini katika upambanaji na…

Read More