Mwenyekiti UWT Njombe Dkt.Scolastika Kevela atoa msaada wa kiti mwendo kwa mhitaji wilayani Wanging’ombe

Mwenyekiti wa Jumuiya ya umoja wa wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Njombe Dkt.Scolastika Kevela ametoa msaada wa kiti mwendo kwa mhitaji Happy Mtewa mzaliwa wa Malangali wilayani Wanging’ombe ili kuweza kumsaidia kupunguza changamoto ikiwemo kutembea anapohitaji kufika maeneo mbalimbali wakati wa ujasiriamali wake. Akizungumza mara baada ya kupokea kiti hicho wakati wa…

Read More

Kuweka tasnia ya ulimwengu kwenye njia nzuri, ya kijani kuelekea ukuaji wa uchumi – maswala ya ulimwengu

Ulimwengu hauna nguvu kuwa wazalishaji, na kuongeza matarajio ya kazi bora na maisha kwa wengi wa maskini zaidi ulimwenguni. Lakini, ili kufaidi kweli idadi ya watu ulimwenguni na sayari kwa ujumla, biashara ya kimataifa na tasnia lazima ziendane na jamii zenye afya, uzalishaji wa chini na hewa safi. Hapo zamani, hii haijawahi kuwa hivyo, lakini…

Read More

Vita mpya ya Stumai, Jentrix Ligi ya Wanawake

VITA ya ufungaji bora wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) inazidi kupamba moto kati ya mastaa wawili, Stumai Abdallah ((JKT Queens) na Jentrix Shikangwa (Simba Queens) huku mbio zao zikikolezwa na takwimu bora kati yao. Wachezaji hao wameendelea kukabana koo kwenye ufungaji wa mabao kila mmoja akikitaka kiatu cha kufumania nyavu kwenye ligi hiyo msimu…

Read More

Sharifa, Glory Tausi warejesha fomu Bawacha

Dar es Salaam. Zikiwa zimesalia siku 13 kuelekea uchaguzi wa viongozi wa mabaraza ya Chadema, baadhi ya wagombea wameanza kurejesha fomu. Wagombea waliorudisha fomu ni Sharifa Suleiman anayewania uenyekiti wa Baraza la Wanawake Taifa (Bawacha) na Glory Tausi anayeomba kuwa naibu katibu mkuu wa Baraza hilo bara. Hatua ya wagombea hao kurejesha fomu, inatoa nafasi…

Read More