
Tanzania Yakabidhi Uenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama wa SADC kwa Malawi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa wakati alipowasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Ivato, kushiriki Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaofanyika Antananarivo…