Mifumo minne ya Chama inayompa jeuri Gamondi
MOJAWAPO wa usajili uliogonga vichwa vya habari katika msimu huu ulikuwa ni wa aliyekuwa kiungo wa Simba, Clatous Chama kuihama timu hiyo aliyoichezea kwa misimu sita na kutua kwa wapinzani wao wakubwa na watani wa jadi, Yanga. Chama aliyejiunga na Simba mara ya kwanza Julai 1, 2018 akitokea Lusaka Dynamos ya kwao Zambia, amekuwa ni…