WADAU WAIANGUKIA SERIKALI KURIDHIA MKATABA WA MASUALA YA WATU WENYE ULEMAVU AFRIKA

Mkurugenzi wa Shirika lisilokuwa la kiserikali linalojihusisha na masuala ya watu wenye ulemavu,Wakili Gideon Mandes, alizungumza na waandishi wa habari mara baada ya semina ya Waandishi wa habari na wadau kutoka vyama vya watu wenye ulemavu yaliyoandaliwa na Shirika la Sightsavers yaliyolenga kuwajengea uelewa kuhusu umuhimu wa itifaki hiyo. Na.Mwandishi Wetu KATIKA kukabiliana na mila,…

Read More

Mabalozi wa Tanzania nje wanolewa chuo cha uongozi

Kibaha. Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali duniani wamekutana mjini Kibaha, mkoani Pwani kwa warsha maalumu inayolenga kuwakumbusha majukumu yao na matarajio ya Serikali kwenye maeneo yao ya kazi. Warsha hiyo iliyoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imeanza leo Aprili 21, 2024 katika Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius…

Read More

Awesu, Simba ni suala la muda tu

Simba inadaiwa kuwa mbioni kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Awesu Awesu kutoka KMC kwa mkataba wa miaka miwili. Mchezaji huyo anakaribia kujiunga na Simba baada ya kumaliza mkataba wake na KMC. Awesu ana uwezo mkubwa wa kucheza nafasi ya kiungo mshambuliaji na pia winga, ingawa kuna nyakati amewahi kutumika kama kiungo wa ulinzi. Awesu anaachana…

Read More

Kisa Dabi… Mabosi Simba wafanya kitu kwa Che Malone

SIMBA inatarajiwa kushuka uwanjani kesho jioni kuikabili Coastal Union, lakini akili za benchi la ufundi na mabosi wa klabu hiyo kwa sasa ni Dabi ya Kariakoo itakayopigwa Machi 8 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, lakini kuna mshtuko walioupata kupitia beki wa kati tegemeo, Fondo Che Malone. Beki huyo raia wa Cameroon, amekuwa ndiye mhimili wa…

Read More

Polisi yaanza kwa kipigo Zanzibar

UHAMIAJI imejiandikia rekodi ya kuwa timu ya kwanza katika Ligi Kuu Zanzibar kufunga bao na kupata ushindi ikiwa ugenini huku mchezaji wake akionyeshwa kadi nyekundu. Mechi iliyofanyika Septemba 25, 2025 kwenye Uwanja wa Mao A, Mjini Unguja, dakika 90 zilimalizika kwa Uhamiaji kutoka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi iliyopanda daraja msimu huu….

Read More

Josiah: Mashujaa tuko nao, Mwakyusa mzuka mwingi

WAKATI Tanzania Prisons ikiendelea kujifua kwa ajili ya mwendelezo wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Aman Josiah amesema kikosi chake kipo tayari na Mashujaa wajiandae kisaikolojia kuacha pointi tatu. Prisons inatarajia kushuka uwanjani Februari 6, kuikaribisha Mashujaa kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya ukiwa ni wa mzunguko wa pili wa ligi hiyo…

Read More