Utata askari Polisi akidaiwa kumjeruhi mtuhumiwa kwa risasi
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi mkoani Manyara limeingia lawamani baada ya ofisa wa kituo cha Mirerani wilayani Simanjiro kudaiwa kumpiga risasi mtuhumiwa wakati akihojiwa. Mtuhumiwa anayetajwa kwa jina la Ronald Mbaga na wenzake wawili walikamatwa Machi 30, 2024 kwa tuhuma za kuiba bastola ya mfanyabiashara wa madini ambaye jina lake halijatajwa. Inadaiwa ofisa huyo…