CAF yaifungia kwa Mkapa, Simba yatakiwa kutafuta uwanja mwingine
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) imelipa siku mbili kuanzia leo Machi 12, 2025 hadi Machi 14, 2025 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutuma jina la uwanja mbadala utakaotumiwa na Simba kwenye mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry. CAF imefikia hatua hiyo baada ya kuufungia…