TUTUMIE NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUOKOA BARAFU KATIKA MLIMA KILIMANJARO
Wakala wa Nishati Vijijiji (REA) umeendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kutunza uoto wa asili nchini pamoja na kulinda barafu katika Mlima Kilimanjaro. Rai hiyo imetolewa leo Disemba 10 na Afisa kutoka REA, Praygod Ng’unda mara baada ya kushuka kutoka Kilele cha Uhuru katika Mlima Kilimanjaro akiwa ameambatana na Afisa Rasilimali Watu…