TBS YATOA ELIMU YA KUDHIBITI SUMUKUVU URAMBO

Na Mwandishi Wetu, Urambo WANANCHI katika Halmashauri ya Wilaya Urambo mkoani Tabora wamepatiwa mafunzo kuhusiana na namna wanavyoweza kuepukana na sumukuvu kwenye mazao ya mahindi na karanga. Elimu hiyo imetolewa mapema wiki hii wilayani hapa na maofisa wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na wale wa Halmashauri ya Wilaya Urambo. Akizungumza na waandishi…

Read More

KILOSA WAANZA KUNUFAIKA NA BIASHARA YA HEWA UKAA

FARIDA MANGUBE, KILOSA MOROGORO MKUU wa Wilaya ya KIlosa, Shaka Hamdu Shaka, amewataka wakazi wa wilaya hiyo kujikita katika biashara ya hewa ukaa, kutambua kuwa ni moja miongoni mwa njia mkakati za ukombozi kwao kuanzia ngazi ya vijiji na halmashauri. Ameyasema hayo wakati akifungua na kuiongoza kikao cha kamati ya uvunaji misitu kilichofanyika katika Ukumbi…

Read More

Vodacom kuwapa fursa za ajira kwa vijana milioni 1 Afrika

Dar es Salaam.  Kampuni ya Vodacom barani Afrika (Vodacom Group) limejiunga na watoa huduma wa teknolojia ili kutengeneza fursa kwa vijana barani humo kupitia ujuzi wa kidijitali kama sehemu ya ahadi yake ya kukuza ujuzi wa kidijitali kwa kizazi kijacho cha Afrika. Kwa kushirikiana na (Amazon Web Services) AWS, Microsoft, Skillsoft na mashirika mengine, Vodacom…

Read More

Unaanzaje Msimu Bila Jamvi Meridianbet?

HATIMAYE ile ngijea ya muda mrefu imefika tamati kwani Ligi mbalimbali Duniani zinarejea leo baada ya siku takribani 81 kusimama. EPL, LALIGA, LIGUE 1 na zingine tayari zipo kwaajili yako. Nafasi hii hapa. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa. Tukianza na ligi pendwa Duniani yaani EPL, bingwa mtetezi Liverpool atakuwa nyumbani pale Anfield kukiwasha…

Read More

Ukamataji unavyozua hofu ya utekaji

Dar es Salaam. Ukiukaji wa utaratibu wa ukamataji unaofanywa na vyombo vya dola, umezua hofu miongoni mwa wananchi, ambao wanauhusisha na matukio ya utekaji. Katika siku za hivi karibuni kumeibuka matukio ya watu kukamatwa yakihusishwa na utekaji, huku mengine yakihusisha watendaji wa vyombo hivyo. Tukio la hivi karibuni ni la dereva ambaye kwa sasa anashikiliwa…

Read More