WASIRA ATOA RAI KWA VIJANA KUGOMBEA UBUNGE,UDIWANI KATIKA UCHAGUZI MKUU 2025

Na Said Mwishehe,Ileje VIJANA wenye sifa jitokezeni kugombea nafasi za ubunge na udiwani katika uchaguzi Mkuu mwaka huu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu. Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara Stephen Wasira alipokuwa akizungumza na wanachama wa Chama hicho Wilaya ya Ileje mkoani Songwe. Wasira amesema kwa vijana ambao wanajiona…

Read More

Baadhi ya vigogo waanguka udiwani Manyara

Babati. Waliokuwa madiwani wa viti maalumu baraza lililopita, katika halmashauri ya mji wa Babati na Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, wameshindwa kutetea nafasi zao. Katika uchaguzi wa madiwani viti maalumu mjini Babati uliofanyika jana Julai 20, 2025 na kusimamiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana (UVCCM) mkoa wa Manyara, Inyasi Amsi umekamilika huku…

Read More

Wabunge watoa kauli hujuma SGR

Dar es Salaam. Wabunge wameliagiza Shirika la Reli Tanzania (TRC), kufunga kamera za ulinzi mara moja maeneo yote ya reli ili kukabiliana na watu wanaohujumu miundombinu ya treni ya kisasa ya umeme (SGR). Agizo hilo limetolewa leo Novemba 9, 2024 jijini Dar es Salaam na wabunge ambao ni wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge…

Read More

Chama awaibia mastaa Stars siri ya AFCON

WAKATI fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 zikitarajiwa kuanza leo Jumapili nchini Morocco, kikosi cha Taifa Stars kitashuka dimbani Desemba 23, 2025 kucheza dhidi ya Nigeria, huku nyota wa zamani wa timu hiyo, Rashid Iddi Chama akisema kila kitu kinawezekana kuanza vizuri. Taifa Stars iko kundi C pamoja na Tunisia, Uganda na Nigeria…

Read More

Kocha Dar City ajivunia mafanikio NBL 2025

BAADA ya timu ya Dar City kutwaa ubingwa wa Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL) 2025, kocha wa timu hiyo Mohamed Mbwana amesema amepitia mengi katika maisha yake lakini anajivunia mafanikio aliyoyapata akiwa na timu hiyo. Mbwana ambaye pia ni kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, amesema alianza kufundisha timu ya Dar…

Read More

Zanzibar Heroes, Burkina Faso kitapigwa tena Mapinduzi Cup

WENYEJI wa michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025, Zanzibar Heroes imetinga fainali kwa mbinde na sasa itakutana tena na Burkina Faso iliyowanyoa bao 1-0 katika makundi baada ya juzi usiku kuing’oa Harambee Stars ya Kenya katika mechi iliyojaa matukio yenye utata. Zanzibar imeifuata Burkina Faso baada ya kumaliza nafasi ya pili ikifikisha pointi sita, ikiiacha…

Read More