JKT waanza safari matumizi nishati safi ya kupikia
Kigoma. Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kushirikiana na Wakala wa Nishati Vijijini (Rea), limeianza rasmi safari ya matumizi ya nishati safi ya kupikia, kwa kufanya tathmini ya miundombinu ya majiko ya vikosi vyake ili kuyabadilishia matumizi kutoka kuni kwenda kwenye nishati safi. Aprili 12, mwaka jana Waziri katika Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano…