UCHUMI WA BULUU UNA FAIDA KUBWA
Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Mohamed Sheikh akifunga kikao kazi cha kuandaa mpango kazi wa utekelezaji wa Uchumi wa Buluu kwa mwaka wa fedha 2024/25 na 2025/26 kilichofanyika Arusha kwa siku mbili. Sehemu ya washiriki wakifuatilia kikao kazi cha kuandaa mpango kazi wa utekelezaji wa Uchumi wa Buluu…