TRA YAZINDUA BOTI YA DORIA ZIWA VICTORIA

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua Boti ya doria ambayo itatumika kupambana na magendo katika Ziwa Victoria na kukomesha vitendo vya ukwepaji kodi ambavyo vimekuwa vikifanywa na watu wasioitakia mema Taifa la Tanzania. Uzinduzi wa Boti hiyo ya Doria umefanywa na Naibu Waziri wa Fedha Mhe Hamad Chande mkoani Mwanza na kueleza kuwa ujio wa…

Read More

Aliyekuwa CEO Simba afariki dunia, klabu yamlilia

Uongozi wa Simba umeeleza kusikitishwa na kifo cha aliyekuwa mtendaji wake mkuu, Dk Anorld Kashembe. Taarifa iliyotolewa na Simba leo Jumatatu Desemba 23, 2024 imeeleza kuwa wamepoteza mtu ambaye alikuwa na mchango mkubwa kwa klabu hiyo. “Uongozi wa klabu ya Simba umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya msiba uliotokea leo 23.12.2024 wa aliyekuwa Mtendaji wa…

Read More

Amuua mwanaye wakigombea koti | Mwananchi

Rombo. Mzee mwenye umri wa miaka 82, mkazi wa kijiji cha Kilema, kata ya Olele, wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kumuua na kumzika mwanaye, Oscar Msamanga (42), kufuatia ugomvi uliodaiwa kuzuka baada ya Msamanga kuvaa koti la baba yake bila idhini. Tukio hilo la kusikitisha lilifichuka Aprili 29, 2025, baada ya mzee huyo kutoa kauli…

Read More

Zaidi ya Wapalestina 400 waliuawa karibu na vibanda vya misaada ya kibinafsi, Ofisi ya Haki za UN inasema – Maswala ya Ulimwenguni

Arifa hiyo inakuja karibu mwezi mmoja tangu Israeli na US-inayoungwa mkono na Gaza Humanitarian Foundation (GHF) ilipoanza kufanya kazi mnamo Mei 27 katika vibanda vilivyochaguliwa, kupitisha UN na NGO zingine zilizoanzishwa. Sehemu zake za usambazaji wa chakula zimehusishwa mara kwa mara na machafuko na risasi kama Gazans ya kukata tamaa na njaa hukimbilia kuchukua vifaa,…

Read More

DC Shaka aunda kamati kuchunguza kifo cha mjamzito

Morogoro. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro (DC), Shaka Hamdu Shaka ameunda kamati kuchunguza chanzo cha kifo cha mjamzito kinachodaiwa kusababishwa na kucheleweshewa huduma. Amechukua uamuzi huo baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa Seleman Makuani, ambaye amedai mke wake Zaituni Mayuga alipoteza maisha baada ya kucheleweshewa huduma akitakiwa kutoa Sh180, 000 kujaza mafuta gari…

Read More

KMKM yazindukia Mwembe Makumbi | Mwanaspoti

MABINGWA wa zamani wa Zanzibar, KMKM juzi jioni walizinduka katika mfululizo wa mechi za Ligi Kuu visiwani humo (ZPL) baada ya kuifumua Mwembe Makumbi City kwa mabao 2-1 baada ya awali kuanza ligi hiyo kwa kipigo kutoka kwa Mafunzo. KMKM ilipata ushindi huo kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, mjini Unguja na kuifanya ifikishe pointi…

Read More