JKT Queens kujichimbia Uturuki kujiandaa CAFWCL

JKT Queens imepanga kuondoka Tanzania Oktoba 9, 2025 kuelekea Uturuki itakapoweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake yatakayofanyika nchini Algeria Novemba 2025. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Ofisa Habari wa JKT Queens, Masau Bwire amesema malengo ya kuweka kambi Uturuki ni kutokana na hali ya hewa ya…

Read More

Netanyahu aishutumu Marekani kwa kuzuia msaada wa silaha – DW – 19.06.2024

Kwenye taarifa ya vidio iliyochapishwa Jumanne Netanyahu alisema hatua hiyo ilikuwa inapunguza kasi ya mashambulizi yake katika mji wa Rafah ulioko Kusini mwa Gaza. Amesema hayo, wakati Umoja wa Mataifa ukiishutumu Israel kwa kukiuka mara kwa mara sheria za kimataifa kwenye vita hivyo baada ya kushindwa kutofautisha wapiganaji na raia.  Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amesema jana kwamba…

Read More

Mpina ‘anavyobanana’ na CCM | Mwananchi

Bariadi. Kauli ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed ya kumtaka Mbunge wa Kisesa Wilaya ya Meatu mkoani humo, Luhaga Mpina kuacha siasa alizoziita za ‘majitaka’ imeendelea kukoleza msuguano kati ya mbunge huyo na chama chake. Mpina amekuwa kwenye msuguano na uongozi wa chama hicho mkoani Simiyu, kiasi cha kuitwa kwenye Kamati ya…

Read More

TODD: Ule usajili Chelsea, pesa zinatoka huku

LONDON, ENGLAND: CHELSEA inazidi kushusha watu. Usajili kwao wameufanya jambo jepesi sana. Hawamuachi mchezaji wanaomtaka na hadi sasa inafikia idadi ya wachezaji 40 kwenye kikosi hicho. Wapo 18 waliosajiliwa hadi sasa, huku tisa ikiwa ni kwa kulipa ada na tisa wengine wakiwa ni usajili huru. Bosi wa miamba hiyo wa Jiji la London, Toddy Boehly…

Read More

Kwa Sowah fresh, Ahoua kazi anayo Simba

NAMNA ambavyo mshambuliaji wa Simba, Jonathan Sowah anavyoendelea kucheka na nyavu, imewafanya wataalamu wa soka kumuona ni mshambuliaji sahihi wa kikosi hicho ambaye atatoa ushindani mkubwa kwa mastaa wengine wa timu hiyo. Oktoba 9, 2025 kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Simba imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 katika mechi ya kirafiki dhidi ya Al…

Read More