RC Mtaka amjia juu afisa kilimo kwa kushindwa kusimamia mradi
Mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amewaagiza wataalamu wa serikali kushirikiana na taasisi binafsi zinazotekeleza miradi mkoani humo kutekeleza miradi yao kwa ufanisi na kupata matokeo chanya kutokana na fedha nyingi wanazotumia kwenye utekelezaji wa miradi hiyo. Mtaka ametoa maagizo hayo wilayani Wanging’ombe baada ya kushindwa kuridhishwa na kazi anayoifanya afisa kilimo wa kata…