CLIMATE CHANGE MARATHON kufanyika Pangani

Katika kuhakikisha jamii inakabiliana na mabadiliko ya tabianchi Shirika la TREE OF HOPE wameandaa Mbio za Marathon ya mabadiliko ya Tabianchi 2024 ( CLIMATE CHANGE MARATHON 2024) zitakazofanyika terehe 28 septemba 2024 wilayani Pangani Mkoa wa Tanga. Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi Wa Shirika Hilo Fortunata Manyelesa amesema lengo la Mbio hizo ni kukusanya…

Read More

Uadilifu unavyotesa wanaume ndoa za mitala

Mwanza. Mitala au ukewenza ni mfumo wa ndoa ambapo mwanaume anaoa wake zaidi ya mmoja. Ingawa mfumo huu umezoeleka katika baadhi ya jamii hasa za Kiafrika, bado unaibua mijadala mikali kuhusu haki, usawa, na ustawi wa familia. Changamoto kubwa inayojitokeza katika ndoa ya ukewenza ni utekelezaji wa uadilifu kati ya wake. …

Read More

MWAKYAMBILE AJITOSA UBUNGE KYELA

:::::::: Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Babyilon Mwakyambile ameingia kwenye mbio za ubunge kwa kuomba ridhaa kuteuliwa kugombea Jimbo la Kyela. Mwakyambile ambaye kitaaluma ni mthaminiwa ardhi akiwa mhitimu wa Chuo Kikuu cha Ardhi jijini Dar Es Salaam, amesema ameamua kujitokeza kuwania nafasi hiyo ili kutimiza azma yake ya kuwatumikia wananchi kupitia jimbo hilo.  

Read More

Trump apiga ‘stop’ maombi ya uhamiaji kwa raia wa nchi 19

Dar es Salaam. Serikali ya Rais Donald Trump imesimamisha kwa muda usiojulikana maombi yote ya uhamiaji kutoka nchi 19, hatua iliyoibua sintofahamu nchini Marekani na duniani kwa ujumla. Hatua hiyo inajumuisha maombi ya ukaazi (green card) na uraia, kwa wahamiaji kutoka nchi 19 zilizowekewa marufuku ya kusafiri mapema mwaka huu. Marufuku hiyo inawahusu raia wa…

Read More

Kilio cha maabara, vifaa kwa wanafunzi wa sayansi

Soma simulizi hii: “Jina langu ni Amina, mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya umma iliyo  mkoani Pwani. Kila Jumatatu asubuhi tunakuwa na kipindi cha Kemia, kipindi ambacho kwa wengi wetu kingepaswa kuwa cha kusisimua, majaribio, mabadiliko ya rangi ya kemikali, na mvuke unaopanda juu ya mitungi ya maabara.  Lakini kwetu sisi,…

Read More

PUMZI YA MOTO: Mkasa wa Pamba FC kushuka daraja 202

HATIMAYE Pamba ya Mwanza imefanikiwa kurudi Ligi Kuu Bara tangu ishuke daraja 2001. Klabu hiyo ambayo sasa inatambulika kama Pamba Jiji, imepanda baada ya ushindi mnono wa 3-1 dhidi ya Mbuni ya Arusha kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini humo. Pamba, klabu yenye rekodi yake barani Afrika inarudi Ligi Kuu baada ya kukaa chini…

Read More