Kishindo cha Kimbunga Hidaya | Mwananchi
Dar/mikoani. Wakati Kimbunga Hidaya kikitarajiwa kupungua nguvu zaidi kuanzia kesho, kishindo cha athari zake kimeanza kuonekana, baada ya bei ya samaki kupanda, huku shughuli za usafiri wa majini zikisitishwa. Kupanda kwa bei katika masoko ya samaki bara na visiwani, imeelezwa na wafanyabiashara kuwa ni mara mbili ndani ya kipindi kifupi. Wavuvi nao wanaelezea ugumu wa…