Viongozi Takukuru wakutana Arusha kujadili mbinu za kukabili wanasiasa watoa rushwa uchaguzi mkuu 2025
Na Seif Mangwangi, Arusha VIGOGO wakuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini wamekutana Jijini Arusha lengo mojawapo likiwa ni kuweka mikakati ya kukabiliana na wanasiasa watakaotoa rushwa katika uchaguzi Mkuu mwakani 2025. Akifungua mkutano huo mkuu wa mwaka wa Takukuru, Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango amesema rushwa ni adui mkubwa ambaye…