Wekundu Wapiga Makofi Kwa Chino Kidd Simba Day – Picha – Global Publishers
Msanii maarufu wa Bongofleva, Chino Kidd, ameacha gumzo kwenye jukwaa la Simba Day 2025 ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kuteka hisia za maelfu ya mashabiki kwa performance kali iliyojaa nguvu, midundo mizito na vibe za mtaa. Mashabiki walilipuka kwa shangwe mara tu alipopanda jukwaani, huku nyimbo zake zikitikisa uwanja…