Majaliwa ashiriki kampeni ya Wizara ya Afya ya mazoezi
*Aungana na wakazi Dar kufanya mazoezi Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki mazoezi ya pamoja ya kampeni ya kitaifa inayoratibiwa na Wizara ya Afya ya kuhamasisha ufanyaji wa mazoezi kwa watanzania ili kujiepusha na magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Mheshimiwa Majaliwa amesema hatua hiyo pia ni kuunga mkono wito wa Rais wa…