Chadema yadai kuwekwa ‘jela’ ya kusafiri, Serikali yapinga
Dar es Salaam. Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikidai Serikali imewawekea zuio viongozi wake wote wa chama hicho kusafiri nje ya nchi, Serikali imekanusha ikisema hakuna zuio lolote iwe kwa kiongozi wa kisiasa au asiye wa kisiasa. Kiini cha madai ya Chadema ni viongozi wake wanne kwa nyakati tofauti kuzuiwa kusafiri nje ya…