Kada ya wanadiplomasia yanukia, Serikali yatoa neno
Arusha. Katika utekelezaji wa mkakati wa diplomasia ya uchumi, Serikali inatarajia kuanzisha mpango wa kujenga kada ya wanadiplomasia wenye uwezo mkubwa nchini. Imesema mpango huo unalenga kusaidia nchi kuwa na rasilimali watu mahiri na wenye ujuzi, maarifa na weledi wenye kuweza kushindana na wanadiplomasia kutoka katika mataifa mengine katika maswala ya kiuchumi. Hayo yameelezwa jana…