Lina Tour msimu wa nne waanza kurindima leo Morogoro
WACHEZAJI takribani 137 wamejitosa kushiriki mashindano ya Lina PG Tour msimu wa nne yaliyoanza leo kwenye viwanja vya Gofu vya Gymkhana mkoani Morogoro. Mashindano hayo ambayo kwa mara ya kwanza yalifanyika 2024 yanaendelea tena mwaka huu yakiwa na lengo la kumuenzi mchezaji gofu wa zamani timu ya taifa ya wanawake marehemu Lina Nkya aliyekuwa na…