Benki ya NMB Yazindua Akaunti ya Kikundi – MWANAHARAKATI MZALENDO
Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi, inayokuja na maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Kupitia akaunti hii, wanakikundi wataweza kutumia NMB Mkononi : ➡️ Kufungua akaunti kiurahisi na papo hapo kwa kubofya *150*66# ➡️ Kuchangia michango na kukopeshana mikopo ya kikundi kupitia simu zao ➡️ Kuhamisha fedha kwa wanakikundi bila makato…