Mahakama ilivyowaachia wawili walioua bila kukusudia
Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Tabora, imewaachia huru kwa masharti, watu wawili waliokiri kuua bila kukusudia akiwemo Manase Kulwa, aliyekiri kumuua bila kukusudia mke wake Sophia Jidai, baada ya kumkuta akifanya mapenzi na mwanaume mwingine. Manase alimuua mkewe Oktoba 21,2024 katika Kijiji cha Mwambondo Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora baada ya kumkuta akifanya mapenzi…