Kimbunga Hidaya chapungua nguvu, tahadhari yatolewa
Dodoma. Serikali imesema kuwa kimbunga Hidaya kilichoipiga Pwani ya Mashariki wa Bahari ya Hindi kinaendelea kupungua nguvu kadri kinavyoelekea nchi kavu baada mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa kuonyesha kuwa kimefikia kasi ya kilomita 342 kwa dakika majira ya saa tatu asubuhi kutoka kasi ya kilomita 401 iliyokuwepo saa 9 alfajiri kuamkia leo. Mapema,…