Kibu nje Simba ikiivaa Mtibwa Sugar
YUKO wapi Kibu Denis? Hilo ndilo swali ambalo mashabiki wa Simba wanajiuliza baada ya kuuwekwa wazi kikosi chao ambacho kitacheza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar muda huu. Uvumi wa Kibu kuhusishwa na Yanga ndio sababu iliyowafanya mashabiki hao kuhoji kuhusu mshambuliaji huyo hapa Chamazi, kwenye Uwanja wa Azam Complex. Mashabiki hao…