ARGENTINA BINGWA COPA AMERICA 2024 – MWANAHARAKATI MZALENDO
Timu ya taifa ya Argentina imetwaa ubingwa wa kombe la Mataifa Amerika Kusini, Copa America 2024 kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Colombia kwenye fainali iliyopigwa katika dimba la Hard Rock, Miami asubuhi hii. Lautaro Martinez amefunga bao lake la 5 kwenye michuano hiyo na kuisaidia Argentina kutwaa Copa America kwa mara ya 16…