Waziri Ummy atangaza Tanzania kuwa kitovu cha utalii tiba

SERIKALI imesema imedhamiria kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha matibabu ya kibingwa na ubingwa bobezi katika Bara la Afrika na kuwa nchi ya kutembelewa kwa ajili ya utalii tiba kutokana na uboreshanji wa miundombinu ya afya maeneo yote nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Hayo yamesemwa  jijini Dar es Salaam na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, alipokuwa akifungua…

Read More

Mahakama Yaelezwa Nathwani Alivyomjeruhi Jirani Yake

Watuhumiwa Bharat Nathwani (katikati) na mke wake Sangita Bharat anayeshuka ngazi wakishuka ngazi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam ambapo kesi yenye mashtaka manne dhidi yao ikiwemo kumjeruhi jirani yao inasikilizwa. Na Mwandishi Wetu MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa jinsi wanandoa Bharat Nathwan (57) na Sangita Bharat (54) walivyomshambulia…

Read More

Gamondi amuulizia kiungo Simba | Mwanaspoti

SIMBA msimu huu imekuwa na kiwango ambacho hakiwafurahishi mashabiki wake lakini kuna wachezaji ambao wamekuwa vipenzi vya mashabiki na wanaamini kama wataendelea kuwepo, miamba hiyo ya Ligi Kuu Bara msimu ujao itatisha na kusahau machungu ya misimu miwili mfululizo mbele ya watani zao, Yanga. Moja ya majina yanayotajwa yanawakosha mashabiki wa timu hiyo, ni kiungo…

Read More

Serikali yasaka bilioni 3 kujenga daraja Mto Mpiji

Serikali imesema inaendelea na juhudi za kutafuta fedha kiasi cha Sh tatu bilioni kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Mto Mpiji ili kuunganisha Kibaha na Kibwengere Wilaya ya Ubungo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hayo yameelezwa leo Ijumaa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (TAMISEMI), Zainabu Katimba wakati akijibu…

Read More

Serikali yataka subira magari ya Zanzibar kutambulika Bara

Dodoma. Serikali imewataka wabunge wawe na subira wakati Serikali ikiendelea na utaratibu wa marekebisho ya sheria itakayowezesha vyombo vya usafiri vilivyosajiliwa Zanzibar kutambulika Tanzania Bara. Hayo yamesemwa bungeni leo Ijumaa Mei 3, 2024 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Daniel Sillo wakati akijibu swali la Bakar Hamad Bakar, mbunge wa Baraza la Wawakilishi (BLW)….

Read More

Ken Gold inasukwa upya Ligi Kuu na mikakati Kibao

Ubingwa wa Ligi Kuu msimu ujao hapana. Ni kauli ya uongozi wa Ken Gold, ukielezea mikakati yao ya msimu ujao baada ya kupanda Ligi Kuu ukisema hawatakurupuka kusuka kikosi na kipaumbele ni wazawa kwanza. Ken Gold inatarajia kucheza Ligi Kuu msimu ujao kwa mara ya kwanza baada ya kufanikiwa kumaliza kinara Championship kwa pointi 70…

Read More