Hii hapa kauli ya kwanza ya Sativa tangu atoke hospitali

Dar es Salaam. Edgar Mwakabela maarufu Sativa anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana kisha kumtesa, kwa mara ya kwanza tangu apatikane Juni 27 ameandika katika ukurasa wake wa X (zamani Twitter). Sativa aliyepatikana Katavi akiwa na majeraha baada ya kutoweka jijini Dar es Salaam leo Julai 7, 2024 ameandika; “Asante bwana kwa uzima huu hakika nimeliona…

Read More

Macron na Scholz wazungumzia mzozo wa Ukraine – DW – 29.05.2024

Suala kubwa ambalo lilitawala mazungumzo kati ya Scholz na Macron ni vita vinavyoendekea nchini Ukraine. Scholz alisema wanataka kuendelea kuisadia Ukraine kisiasa, kifedha, kijeshi na kwa kuipa misaada ya kibinadamu. Alisema Uhispania tayari imeshaahidi kutoa msaada na kwamba yeye na Macron wamekubaliana ni lazima wachukue hatua inayofuata kuimarisha msaada huu katika ngazi nyingine mpya. Scholz alisema…

Read More

Mahakama yakataa kuhojiwa waliotoa viapo kesi ya Polepole

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeyakataa maombi ya mawakili wa wajibu maombi katika shauri la kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kuwaita kizimbani na kuwahoji watu waliokula viapo vilivyoambatanishwa katika hati ya maombi ya shauri hilo, akiwamo wakili wake, Peter Kibatala. Maombi hayo yaliwasilishwa mahakamani jana Jumatano,…

Read More

Familia kijana anayedaiwa kuuawa yamwangukia IGP

Dar es Salaam. Wakati Mkuu wa Shule ya Sekondari Ipogolo, Mkoa wa Iringa alikohitimu kidato cha nne Elvis Mvano Pemba ikielezea maisha ya kijana huyo shuleni, familia yake imesema haiwezi kufungua kesi polisi mkoani Songwe kwa kuwa haina imani na jeshi hilo mkoani humo. Familia ya Elvis imekwenda mbali zaidi na kuomba Inspekta Jenerali wa…

Read More

Diwani Mbozi afariki kwa kunywa maji ya betri

Songwe. Diwani mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Shiwinga, Wilaya ya Mbozi, mkoani Songwe, Lusekelo Mwalukomo, amefariki dunia baada ya kunywa maji ya betri. Tukio hilo lililotokea Novemba 26, 2025 wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Mbozi Mission. Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Hamad Mbega, akizungumza na Mwananchi Digital leo Novemba 27,…

Read More

Haya hapa makao makuu mapya ya Chaumma

Dar es Salaam. Hatimaye Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimepata jengo litakalotumia kama ofisi yake ya makao makuu mapya. Uamuzi huo utakifanya chama hicho kinachoongozwa na Mwenyekiti wake, Hashim Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa kuhamisha makao makuu yake kutoka yalipo sasa Makumbusho kwenda Kinondoni. Ofisi hizo mpya, zipo katika Mtaa wa Kumbukumbu Biafra, Kinondoni,…

Read More