
ACT-Wazalendo yamjibu msajili hoja za Monalisa
Dar es Salaam. Sakata la uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea urais wa ACT-Wazalendo limeendelea kushika kasi, huku chama hicho kikitoa majibu kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kufuatia malalamiko yaliyowasilishwa na Naibu Mwenezi wa chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala anayepinga uteuzi huo. Monalisa aliwasilisha malalamiko hayo Agosti 19, 2025 Ofisi…