Tanzania Sasa Kitovu cha Matibabu ya Kibingwa
Waziri wa Afya nchini, Ummy Mwalimu akiangalia maonyesho kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani Tanzania (APHYTA). mkutano huo wa siku mbili unaendelea jijini Dar es Salam na utamaliza Mei 3,2024. Waziri wa Afya nchini, Ummy Mwalimu akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Bingwa wa…