Wababe wa Simba na Yanga katikati ya mtego
AL Ahly ya Misri itabeba tena? Hilo ndilo swali lililopo vichwani mwa mashabiki na wapenzi wa soka Afrika kwa sasa, wakati wakisubiri mechi mbili za fainali za michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mechi hizo zitakazopigwa kati ya Mei 18 na 25 mwaka huu itakutanisha watetezi hao wanaoshikilia taji la 11 dhidi ya mabingwa mara…