CHEZA THE TIPSY TOURIST USHINDE MAMILIONI

SAFARI za utalii huwa zinanoga sana haswa mnapokuwa na vibe la kutosha, Meridianbet inakupeleka kutalii ukiwa na waongozaji mahari kwenye mchezo wao mpya wa kasino ya mtandaoni wa utalii. Kuna mizunguko ya bure na alama za porini za ushindi, bonasi ya kubashiri na bonasi maalum ya Drink Me. Kwenye kasino ya mtandaoni hii mchanganyiko wote…

Read More

Ecobank Tanzania Yazindua Toleo Jipya la ‘Ellevate’ kwa Kuwawezesha Wajasiriamali Wanawake

 Ecobank Tanzania imezindua rasmi toleo lililoboreshwa la mpango wake wa “Ellevate by Ecobank”, likiwa na lengo la kuharakisha ujumuishaji wa kifedha na uwezeshaji wa kiuchumi kwa wanawake wajasiriamali.. Awali, Ellevate ilianzishwa kusaidia biashara ndogo na za kati (SMEs) zinazoongozwa au kumilikiwa na wanawake. Hata hivyo, mpango huu sasa umeboreshwa na kupanuliwa ili kuwafikia wanawake katika…

Read More

Ukiukaji wa sheria unavyoathiri miundombinu ya masoko Dar – 1

Dar es Salaam. Utekelezaji usioridhisha wa sheria za usimamizi wa mazingira na sheria ndogo za masoko katika Mkoa wa Dar es Salaam umesababisha kuibuka kwa masoko yasiyo na viwango, yenye miundombinu mibovu na uchafu uliokithiri unaohatarisha afya za wananchi. Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi kwa miezi mitatu kwenye masoko 11, umebaini sheria hazitekelezwi ipasavyo na kusababisha…

Read More

Lissu, Mbowe wawaweka njia panda wagombea mabaraza, kamati kuu

Dar es Salaam. Ushindani unaoendelea katika nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), unatajwa kuwapa wakati mgumu wagombea wa nafasi ngazi za mabaraza ya chama hicho. Ugumu huo, unatokana na kile kinachotajwa kuwa, inamlazimu mgombea kujipambanua upande anaouunga mkono kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe wanaogombea uenyekiti wa chama hicho. Mbowe…

Read More