DKT TULIA ATOA RAI KWA WAANDISHI KUHABARISHA JAMII KUHUSU MAZINGIRA.
Na Janeth Raphael -MichuziTv -Dodoma Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Raisi wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Dkt Tulia Ackson amaetoa Rai kwa Waandishi wa habari na Watangazaji Nchini kutumia muda wao kuandika na kuhabarisha Umma kuhusiana na Mazingira pamoja na Mabadiliko ya tabia ya Nchi. Dkt Tulia ameyasema hayo…