Sababu ya Kibu kugomea mkataba Simba hii hapa

Mwanaspoti linajua kama mambo yataenda yalivyo, wakati wowote Simba inaweza kumpoteza kiungo wao mshambuliaji mpambanaji Kibu Denis Prosper. Ni kama yuko mlangoni kuingia kwa watani wao Yanga. Iko hivi Kibu anamaliza mkataba wake na Simba mwisho wa msimu huu lakini alipoenda mezani kuwasikiliza wekundu hao juu ya ofa yao akagundua kwamba hawajavuka hata nusu ya…

Read More

Mwanamke Rwanda ataka kupambana tena na Kagame

KIONGOZI wa kihistoria wa upinzani nchini Rwanda, Victoire Ingabire Umuhoza, amefungua kesi katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) akitaka arejeshewe haki zake za kiraia, ikiwa ni pamoja na haki ya kugombea katika uchaguzi ujao. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Victoire Ingabire Umuhoza alifungua kesi hiyo mapema wiki hii. Anapinga serikali ya Rwanda kukataa kurejesha…

Read More

Urusi yadai kusonga mbele Ukraine – DW – 02.05.2024

Hayo yanajiri muda mfupi baada ya Ukraine nayo kudai kuwa Moscow ilifanya shambulio la kombora mjini Odesa na kuwajeruhi watu wanne. Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema leo Alhamisi kuwa wanajeshi wake wamefanikiwa kuliteka eneo la Berdychi lililo mashariki mwa Ukraine. Taarifa ya wizara hiyo imetolewa kupitia shirika la habari la Interfax wakati Urusi ikiharakisha…

Read More

Uchunguzi walionaswa na nyara za Sh3.3 bil bado bado

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema bado inaendelea na uchunguzi katika kesi ya kusafirisha nyara za Serikali ikiwemo mifupa 1,107 ya Simba zenye jumla ya thamani ya Sh 3.3 bilioni, inayowakabili washtakiwa 12 wakiwemo waliokuwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA). Washtakiwa hao ikiwemo kampuni ya usafirishaji ya AB Marine Products…

Read More

DKT. BITEKO ATAKA UTOAJI HUDUMA USIWE WA KIBAGUZI

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuboresha miundombinu ya utoaji wa huduma za saratani na vifaa tiba ili kutanua wigo wa huduma za Saratani nchini na hivyo kuwezesha upatikanaji wa huduma hizo kwa urahisi. Dkt. Biteko amesema hayo tarehe 2 Mei, 2024 wakati akimwakilisha Rais, Dkt. Samia…

Read More