KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA SHERIA NDOGO YATEMBELEA TRC
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo imekutana na kuzungumza na Menejimenti ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuhusu Kanuni za Matumizi ya Miundombinu ya Reli kwa watoa Huduma Binafsi ya 2024, inayosimamiwa na Shirika hilo jijini Dar es Salaam 2 Agosti 2024. Akizungumza mara baada ya mazungumzo hayo Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa…