Kitita cha matibabu chawaibua madaktari bingwa wa magonjwa ya ndani
Dar es Salaam. Wakati Serikali ikiendelea kufanyia maboresho sekta ya afya ikiwamo kuimarisha matibabu kwa kuweka vitita kwa wagonjwa wanaotibiwa kwa bima, Chama cha Madaktari wa Magonjwa ya Ndani Tanzania (APHYTA) kimeshauri maboresho hayo yasiathiri ubora wa huduma. Ushauri huo umetolewa kutokana na maboresho yaliyofanyika hivi karibuni ya kitita cha matibabu kilicholalamikiwa na baadhi ya…