Jeshi la Magereza latangaza ajira kwa vijana, omba hapa
Dar es Salaam. Jeshi la Magereza limetangaza nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu ya kuanzia kidato cha nne na wenye ujuzi katika fani mbalimbali kuanzia ngazi ya stashahada hadi shahada. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Kamishna Jenerali wa Magereza, Jeremiah Katungu leo Agosti 15, 2025, vijana watakaokidhi vigezo watapaswa kuomba kupitia…