Maji yanapogeuka adui mtoa uhai

Dar es Salaam. Ingawa maji ni msingi wa maisha na maendeleo ya binadamu, yanapokosa usimamizi salama huweza kubadilika na kuwa tishio kwa uhai. Kutoka kwenye visima vya nyumbani hadi kwenye mito, maziwa na bahari, mamia hupoteza maisha kila mwaka; wengi wao wakiwa watoto na vijana wenye umri wa mwaka mmoja hadi 24 duniani kote hali…

Read More

Kizimbani akituhumiwa kumbaka ‘x’ wake, kupiga chabo watu wakiwa faragha

Uingereza. Aliyekuwa diwani wa Swindon nchini Uingereza, Philip Young amefikishwa mahakamani akituhumiwa kutenda makosa mbalimbali ya kingono dhidi ya aliyekuwa mke wake wa zamani kwa kipindi cha miaka 13, na kosa makosa mengine ikiwamo la kuwachunguliwa watu wakiwa faragha. Young anakabiliwa na mashtaka 56, yakiwemo makosa kadhaa ya ubakaji na kumpa kitu kinachodhaniwa kuwa dawa…

Read More

Adam agusia ‘misele’ ya Maxi uwanjani

MSHAMBULIAJI wa TRA United, Adam Adam amemzungumzia kiungo wa Yanga, Maxi Nzengeli namna alivyo hatari kutokana na kupatikana maeneo mengi ya uwanja wakati wa mechi, akiamini hilo linamtofautisha na wengine na kusisitiza ataisaidia timu hiyo katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Adam alisema Nzengeli katika mechi moja anaweza kuonekana winga ya kulia, kushoto na namba 10,…

Read More

Mambo saba usiyopaswa kufanya baada ya kula

Dar es Salaam. Chakula ni muhimu kwa afya njema na kuna misingi inatakiwa kufuatwa ili kuepukana na madhara yatakayosababishwa baada ya kula chakula. Wataalamu wanaelezea mambo saba ya kuzingatia baada ya kula chakula ili kuepuka muingiliano wa virutubisho vinavyopatikana kwenye chakula na changamoto zinazoweza kusababisha maradhi. Daktari wa binadamu, Erick Shayo anasema Watanzania hawana utamaduni…

Read More

Eagles wajipange upya Mwanza | Mwanaspoti

MABINGWA watetezi wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Mwanza (Marba), Eagles imeanza vibaya katika kampeni ya kutetea ubingwa baada ya kufungwa na Profile kwa pointi 81-72. Mchezo huo uliokuwa wa ufunguzi ulichezwa katika Uwanja wa Mirongo uliopo mjini humo Akizungumzia mchezo huo na Mwanasposti, kocha wa kikapu, Benson Nyasebwa alisema  timu nane ndizo zitakazoshiriki michuano…

Read More