
Mikoa hii bila mvua kwa siku 10
Dar es Salam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa mwelekeo wa hali ya hewa kwa siku 10 baadhi ya mikoa ikitarajiwa kupata mvua nyepesi, huku mingi zaidi ikitarajiwa kushuhudia hali ya ukavu. Taarifa hiyo ya TMA kwa siku 10 kuanzia leo Alhamisi Agosti 21, 2025 hadi Agosti 31, 2025, inaonyesha mikoa ya Kanda…