Lengo Letu Ni Kuiteka Kinshasa – Global Publishers

Kiongozi wa Muungano wa Waasi wa Congo River Alliance unaolijumuisha kundi la wapiganaji wa M23 waliofanikiwa kuuteka Mji wa Goma, Corneille Nangaa amesema lengo lao siyo kuiteka Goma pekee bali wanaitaka Kinshasa ili kumuondoa madarakani Rais Felix Tshisekedi. Kauli hiyo inakuja muda mfupi baada ya waasi wa M23 kuushikilia Uwanja wa Ndege…

Read More

𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀 𝐇𝐀𝐋𝐈𝐖𝐄𝐙𝐈 𝐊𝐔𝐒𝐓𝐀𝐖𝐈 𝐊𝐈𝐔𝐂𝐇𝐔𝐌𝐈 𝐁𝐈𝐋𝐀 𝐌𝐀𝐅𝐔𝐍𝐃𝐈 𝐒𝐀𝐍𝐈𝐅𝐔, 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐒𝐀𝐘𝐀𝐍𝐒𝐈 𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐇𝐀𝐍𝐃𝐈𝐒𝐈 – 𝐏𝐑𝐎𝐅. 𝐌𝐔𝐒𝐇𝐈

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Daniel Mushi, amesema Serikali inathamini mchango mkubwa wa wanasayansi, wahandisi, watafiti na wabunifu katika kufikia azma ya kuwa nchi ya uchumi wa viwanda. Prof. Mushi ametoa kauli hiyo leo Disemba 06, 2024 jijini Dar es Salaam akihutubia katika mahafali ya 18 ya Taasisi ya Teknolojia…

Read More

RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA KONGAMANO LA MIAKA 60 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR NA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 11-6-2024.WASHIRIKI wa Kongamano la Miaka 60 ya Mapinduzi…

Read More

Wanufaika na teknolojia ya kilimo shadidi

Ifakara. Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tari) kituo cha Ifakara, inaendelea kunufaisha wakulima kwa kutoa elimu kuhusu matumizi ya mbegu bora za mpunga na mbinu za kilimo cha kisasa kwa kutumia teknolojia ya Kilimo Shadidi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Siku ya Mkulima uliofanyika katika kijiji cha Katurukila, kata ya Mkula, Halmashauri ya Mji…

Read More

Pombe, sigara chanzo watoto kukosa ubongo, mimba kuharibika

Mbeya. Wajawazito wanaotumia vilevi na sigara kupita kiasi, wako hatarini kupata watoto wasio na ubongo ‘alcoholic syndrome’ tatizo linalosababisha ubongo wa mtoto kutofanya kazi, kutokomaa maumbile na tundu kwenye moyo. Madhara mengine ni kujifungua watoto wenye changamoto mbalimbali wakiwepo  njiti, kuzaliwa na changamoto  ya vichwa vikubwa, mgongo wazi hususani kwa  mjamzito mimba kuharibika ikiwa chini…

Read More