Hersi afafanua ukweli ulivyo madai ya kuishambulia Simba
BAADHI ya mashabiki wa Simba wanalia juu ya uwasilishaji uliofanywa na Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa Chama cha Klabu za Soka Afrika (ACA), Injinia Hersi Said kwenye kongamano la soka lililoandaliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu la Kimataifa (FIFA) wakidai bosi huyo aliwamaliza, lakini mwenyewe ametoa ufafanuzi. Akizungumza na Mwanaspoti akiwa Qatar kulikofanyika…