DKT.NCHIMBI AWASILI LUDEWA,MKOANI NJOMBE KUENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI
MGOMBEA Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewasili wilayani Ludewa mkoani Njombe,leo Jumatatu Septemba 22,2025 kuendelea na mikutano yake ya kampeni akitokea Mkoa wa Ruvuma. Dkt.Nchimbi amewasili kwenye uwanja wa mpira wa Ludewa na kupokewa na Viongozi waandamizi wa Chama…