Makonda aisisitiza GGML kuhakikisha CSR inabadilisha maisha ya wana-Geita
Na Mwandishi Wetu, Arusha MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametoa wito kwa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kuhakikisha fedha zinazotolewa na kampuni hiyo kutekeleza miradi mbalimbali ya kijamii (CSR) zinagusa na kubadilisha maisha ya wananchi wa mkoa wa Geita na Tanzania kwa ujumla. Mbali na kuipongeza GGML kwa kuja na tenolojia…